ISUZU FSR

Kwanini

Ulitoka business au ulikuwa turnboy then ukawa fired

bro just outsource raw materials from TATA drivers , their prices are mouthwatering… shida ya lorry ni brokers & unreliable drivers… niko hiyo biz just inbox me nikupe prices za machine cut stones.

Iko competitive sana,na materials zikapanda sana,wenyewe walikuwa wajuaji sana wakaform cartels,mchanga kama ya maai mahiu before waform cartels ulikuwa unanunua mia tatu ubebe vile unataka,weighbridge zilikuwa zinapima matrela pekee,yaani kuna mambo mingi iliharibika kabisa lakini ukiwa roho juu utafanya na huwezi kosa ya kukula

Niwe turnboy,driver ’ battery’ ama mwenye gari hio is not here or there, ya maana ni I know more than you in matter transportation, peleka watu new Zealand

i hate cartels though nashuku i can become one bad cartel :D:D:D:D:D:D:D:D:D

You have just answered the question, the said person hana loan and he bought the lorry purposely for his projects. He is also avoiding troublesome drivers, breakage na kushikwa na police kwanza wa ratiri

@Motokubwa @Randy nimefanya research and so far this is what makes sense to me:
you buy the truck give it to a driver who has a good network of customers,for two trips a day he gives you a net of 10-12k after all expenses.
Is this a good deal ama nikufinyiliwa?

Hio ni kama vile watu hununua bodaboda na kupea MTU ati atakuletea 300,atakuletea siku kadhaa za kwanza after halo in story after story, kuna MTU atanunua Lori take na wewe yako uwekelee mawe,tafutana na mafundi na uwe unawapatia za macho na bei utengeneze,Lori haitakosa kazi

He has alot of work to do whether he hires them or buys his own.
At the sand and stone sites i noted they undercut the customers.Wanakuwekea mchanga kidogo then wanaichanua,mawe unawekewa wrong grade,then kuna wale wanaenda kuuza pieces kwa njia.
Biashara ngumu hiyo @pips254 .Pay for the delivered products.