JaKuon Ameona Hii?

Baba alirudi Jana

Pia mimi natulia tu. Kijiji najazwa threads hazina miguu.

Lakini Uhunye hakuambia analysts poa. Akina Prof Tumbo Oeri hapo ndio wananukishia kitunguu otherwise mnataka Prof Tumbo Oeri akauze migwa gopore?

Kuna Kiyana anaitwa Steve Mzalendo, amekuwa kwa stations zote this time of Supreme Court