Jamii Forum is back

bye bye Kenya.
See you next time.
Ahsanteni kwa kutuhifadhi

[ATTACH=full]179757[/ATTACH]

Ipo hewani ila unaweza kusoma mada za siku za nyuma tu… huwezi kuanzisha uzi mpya au kucomment kwenye mada za zamani!

Afadhali umenisaidia nilikua cjaiona hiyo picha

Thats it.

Ipo hewani muda huu

We will be required to re-register…

:stuck_out_tongue:

Hapatatosha.

Kweli aiseeeee

Ni wendo wa Pm tu

UNASEMA KWELI MKUU?

Imerejea lakini ktakuwa vizuri zaidi kama melo akiitisha press conference kuuhabarisha umma na kutuaminisha wadau wake

vp kupost n replay imerud! au ipo nusu

IKO KWA AJILI YA KUSOMA TU YALIYOPITA…

Habari wanajamii forum
Leo nimepitia ukurasa wetu wa JF ni kweli imerudi lakini navyoona itakuwa imerudi na masharti kibao sana sio kama ilivyokuwa mwanzo maana kuna kila dalili ya kuminywa hasa watumiaji wake maana hata ukiangalia sehemu za kuanzishia uzi mpya wala kureply hazipo kabisa,Tuombe Mungu irudi kama zamani,NIMEIMISI JF JAPO NIMESHAANZA KUZOEA KENYA TALK

Mtapata tabu sana

Mtapata

Mtapata tabu sana

yaani mkuu sana

Mods wa kenya talk hamjui kuunganisha nyuzi? Nyuzi za jf kurudi zipo kama mia hivi. Hlf bado haijarudi maana huwezi kupost chochote.

Tuombe Jiwe atoweke

ha ha ha ha tushaanza kuzoea kenya talk