Jamii Forums imerudi

READ ONLY, pengne wameskia yale malalamiko na mengne meng angalau tuweze kusoma tu.

sitakaa kufanya kosa kama hilo kama kurudi turudi na ID za zamani huu mpango mpaka tubadili email kuna nini hapo?,

Asante sana wana Kenya wote

Nami nashangaa Maxence kurudi kimyakimya kama paka mwizi…sio kawaida kwani nimeangalia neno lolote la kutoka kwa wahusika sijaona, au ndio amekubali kushindwa na kuamua kuungana nao ili watukaange vizuri? mie ngoja nisubiri kwanza nione kina nani watatangulia kuuvaa mtego.

mbona huwezi kupost, bado mambo hayajakaa sawa

Read only ndo unakuja speed hivi

Ahsanteni wakenya kwakutupa accommodation ya muda, tunarudi home sasa tukapambane na hali zetu lkn hatutaacha kuwatembelea na kuwajulia hali, mmetusaidia sana katika kipindi cha mpito tulichopitia

Haraka haraka haina baraka, mambo yatakaa sawa tu

Good news

Hawa wakenya sijui hawajui kiswahili?

hahahaaa! naona watu tume-mute ku login kule JF.

kwa sasa sidhani kama ni salama sana kule…

Nimesharudi na niko mlangoni niweze kuweka maoni yangu mule.

!
!
Imerudi Kwa Kusoma Tu Kama Gofu La Mtamdaoni.

mkuu sisi wenye ID fake ni shida!!

Wanataka tuogee nje mchana wa jua kali!

tulia bado vumbi ka vita halijatulia ni mapema mno kuaga

Kulazimisha watu wajisajili kwa majina halisi ni kuingilia uhuru binafsi wa mtu. Sisi tuliojiandikisha kwa majina yetu tuliamua kufanya hivyo kwa hiyari yetu wenyewe na siyo kwa kulazimishwa.

Kwani kufungiwa kwa JF nawe kulikuwa kunakuumiza??
Nyie si ndio kutwa kumsifia Kichaa…hawara wa Kidoti aliyefungia if…!!

Mimi sirudi ng’o nani anataka kwenda kutoswa kwenye kiroba huko Coco beach? Warudi haoa hao akina Cocochanel

Nausoma upepo kwanza