Jamii Forums inajifunza nini kutoka katika mitandao iliyofanikiwa kama Facebook, Twitter, Instagram, Airbnb, n.k

Huo weledi wa kutoa taarifa za mtu na zisitumike kisiasa tz upo kweli!!???

Kenge naona zimeshaingia kwenye msafara wa mamba

hahaah walijua bomu likioigwa mtaa fulani watakao athirika ni wa upande mmoja kumne linatwanga waliomo na wasio kuwamo

Tofautisha hizo nchi nyingine na hapa kwetu, huko unaweza ukatoa taarifa za UFISADI na ukapewa
zawadi na heshima Kubwa. Huku kwetu kutoa taarifa mzito za ufisadi kunaweza kukufanya
UFUNGWE MDOMO. hujawahi kuona WAHARIRI waliomwagiwa TINDIKALI wewe/

Vepee Kuhusu Naijaland?

Aisee! Jamaa walijua wamemkomoa Max kumbe wamejikomoa na wenyewe

Ok

naona mmetumwa na huku kuleta ujinga wenu!!

:mad::mad::mad::mad::mad:

Duu yupo?

Juzi jana na leo labda Allah kareem amchkue sasa hivi

Mapema mno loh

Hey are u mshana???

Mapema mno loh

Umejuaje

Avatar yako

pale away panapogeuka home…

Shida ya serikali ya Tanzania wakipata taarifa za siri za watu hua wanazitumia kisiasa! Tanzania kwa sasa inatawaliwa na kikundi kidogo hatari sana chenye malengo ya kufanya kinavyotaka.

Narudia tena kusema Tanzania sio sehemu salama ya taarifa za mtu za siri kutambulika na serikali.

Mshana umehifadhiwa kambi gani ya wakimbizi? mi niko Count ya Madhare machokoraa kibao soon nahamia Count ya Nyeri…:D:D:D

Wewe mleta mada una nini lakini?

mchokozi tu!