Jamii imepoteza moral values

Kitu kimoja wazazi waelewe, ukistaafu zile field zilizokuwa zinakuweka busy kuna atakaeajiriwa kuzifanya na wewe itabaki na wanao. Kama wamekuwa mateja zigo ni lako

Mie wangu nilimbana na sasa yupo masters. Sasa nipo worried maana atakutana na nshankupe waitoe ingawa nia yangu ni mpaka aolewe.

Angalau amepevuka kuwa akili

Huyu ni injinia na anajitambua sana. Ila kazi sana maana kila wakati anataka kuwa karibu na mimi na huwa namsikiliza na kumuongoza

Hongera sana villager

My one n only tufanye mchakato wa copy ya hicho kisura chako…teh teh!!

Umeongea ukweli wote Sky

Hahah! Eti haikufika chuo

Unajuaje sasa kama bado ipo??

Tulio na mabinti tunajua sana. Mtoto wa kike atakuwa karibu nawe mpaka hata mama yake ataona wivu. Akishapata boyfriend anakuwa mbali na wewe. Pili kama binti hasa akiwa mkubwa zaidi ya 20 yrs kama hana boyfriend hata simu yake hawezi password na anaweza akakuachia baba yake. Lakini akishaanza utaona hata upokeaji wa simu ni mbali na ulipo etc

Ewaaaaa
Hilo ndo lamuhimu my one n only!

Duh! Hongera

Wazazi wenyewe wapo bsy na hizo smartphone muda wa kulea hana.

Hilo la kuoa bikira ndio halipo kabisa 100%,

Labda hilo la pili lipo

Duh sio mchezo kwa hapa tulipofikia…

hatari halafu unakuta wengine wameshatoa mimba

Bikira ikishatolewa hicho ndiyo kinafuatia