Je Ndio Niachane na Mahusiano ya Kimapenzi!?

Te

Teh watu mna majibu.

Ukiona mapenzi magumu achana nayo kuna vingine vya kufanya

Kuna watu wanahisi gari ni chachu sijui ya mapenzi au ni kujishaua tuu,.hata nashindwa kuwaelewa muda mwingine…jamanii ee wengine tunawapendaga tuu na tz 11 zenu msitafute because,. Mfyuuuu!!!

Iko hivi ukiwa huna pesa hata mbwa wako anakungata mkuu.

kuwa mwanaume… acha ubwege…

punguza gadhabu