JF App irudi angalau kwa siku moja; kuna mitongozo PM tukaombe namba

duh watu mshakuwa “masinia” tayari hatari sana

Hahahaahaaa. Tumeingia kwa vurugu

Tumekufata toka jana Hujibu PM zetu

Hahahahaahaaa

Unaniita PM halafu hutokei

Hahahahaahaaa

Lini

Lini hiyo?

Jana

PM yangu itakuwa imefurikaaa…

Mambo hapa…

Mambo gani?

Hahhahahahhahhahahahhahaha, itabd ufanye mpango upya tena…

Pole sana…

Inahuzunisha sana…

Hiyo namba ya nani na mimi naomba

Hahahahahahaha

hahaha

tabia yako mbaya

Duh

Yaani wewe
Sasa namba si hukunipaaa kaka!! Mekumiss sana

nimekumiss pia dada, inabidi nikupe kwakweli…JF wameweza kutushtua mioyo