Aiseee…wakali lakini wanazaa bila tatizo lolote hahaha
Aisee!
Mie wangu umekuja huku.
I love you and glad to see you here
Sikh mingi nshakua sinia mwanakijiji. Salamu zako nilizipata
Lol
Jina lake tu linaonyesha mrembo…
Unalo
Wewe ni mtizii au mkenya?
Mtizii waona kiswahili changu vile kimekaa poa
k
kama anayo???
:p:p:p:p:p:p:p:p:p
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
:p:p:p:p:p:p:p:p
Mpaka JF irudi ntakuwa nimeshanyanganywa mchumba, hizi dalili sizisomi kabisa.
Ticha za asubuhi.
Kweli mkuu
Niko na wewe tuu
Mchumba nashukuru kwa kunipa amani.
Tuko pamoja.