JF usiku wa Manane

akiii sitaweza Kiswahili yao. nakomaa hapa hapa na JF yangu

Sawa basi ,ila jf kiboko jamani tulikuwa wengiiii

Huku patachangamka sana wageni tumekujaa nyuzi zitakimbiaa mpaka basi

Kabisa.

Mimi sitamani kuridi Tanzania, mtaniacha hukuhuku.

Kwanini tumekuja wote tutarudi woteee

Sirudi na mtu mimi.

Mambo ya kujisajili kwa kutumia namba za simu zilizosajiliwa sina muda nayo.

Nafunga geti hapa

Ngoja kwanza kabla hujafunga nikupe taarifa. Hahah!

Nimemleta dada yako

Umeongea jambo la msing sana na JF ao wafanye wamalize mambo yao mapema otherwise tukiwa addicted huku itakua ngumu tena kuondoka

Kwanin Mkuu?

yaan mapopo wenzangu sijui ntawapataje

Sasa hivi sio usiku

Fanaya msako uwalete hapa

yaaaan kina hb dingmtoto

Tunaitana si unajua tuko ugenin so acha tuendelee kuwakarbisha

Mimi upopo naona ulishanishinda, tena kama sasa hivi hakuna NBA ndo kabisaa.

@innaa kuna jamaa anaitwa ICEMAN 3D, anapatikanaje?

Maserati, spade wa spade, ipogolo, Thad, …

Inatakiwa tutane kabisa mkuu kwa njia zozote zile

Kuna QUICKLEY alias SHAMMA, nimepoteza simu niliyokuwa na namba yake jamaa yule.

Very Soon hii Kenya talk itageuka kuwa Tanzania Talk