Jinsi ya kupika maharage ya kukata

o_Oo_Oo_OHapo ndiyo kwanza unazidi kunichanganya unaposema eti Mnaelewana ninyi wenyewe wawili tuuuuuuuu…!!! Halafu umemualika kabisa @A.G. …!!!

Hahahaaa. Si ndio aje akuone jamaani jinsi unavyochanganyikiwa.

Au hujapenda nilivyomwita. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama na weye ni Mkenya huenda mkaelewana vyema zaidi kuliko nikikuelezea mie jinsi tunavyoelewana na @A.G.

Haya Bhana niishie hapo, Labda niseme la mwisho kuwa Naona hapo ni wawili tu akija wa Tatu anafukuzwa…!!!

[emoji2] [emoji2] [emoji2] lol.

Labda nije kivingine…Hivi haya maharaghwe ndiyo yale yanayowekwa kwa karatasi…??

Hahaaaa. Haya bana.

Umeniacha bana na hicho Kiswahili chako umesema hivyo ukimaanisha yanawekwa makaratasi au ndio yanaliwa yakiwa kwenye maratasi?

Sababu hii ni Lugha gongana aisee.

Pesa ikiivana vizuri naja Bongo kupikiwa na @Hajar . Mpishi hodari aisee

Mrembo ambia yeye awe mpole. sisi twaelewana tu. Acheze chini

Kabisa hapo na chapat nimekuelewa sana au mbaaz za kukata lol nahisi njaa

Hahahaaa. Hujakumbuka yale maeneo yetu ya juzi kule jf

Mayomboni, nami, Zingibari, Duga Maforoni nk sababu kule ndio vyakula vyao kila leo.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yaaani hata usiseme sana haya maharage upate chapati zile laini au mbaaz za kukata aisee

Hahaaaa. Acha kabisa.

Hahahaaaa. Eti “acheze chini” lol.

Ameshaona tayari kwamba sie twaelewana jirani. Teh teh

Ila umefichwa banaaa. Sikuoni atii.

Za masiku mrembo. nimekumiss sana

Nzuri sana jirani. Si wajua kwetu kulishanoga sasa ndio tunashindaga huko jirani huku tunakuja kuchungulia tu.

Mzima lakini jirani?

Nimefurahi kusikia nyumbani mpo sawa. Huku pia mumekaribishwa kabisa jirani.

Hahaaa. Usijali jirani ndio kama hivi nakaribia japo nakuwa sio mkaaji sana.

Karibu kwetu jirani.

ukiniandalia chapo nitakuja ;):stuck_out_tongue:

Hahahaaa. Ukiwa tayari jirani we niambie nitakuandalia upate kuja. Hahahaaa.

kabisa mami. Kisha baadae tuimbe kwa ngwaru hehe