Jioni Sacco

Ni vizuri umejimulika kabla Ktalk CSI waamke.

He he, sasa hii ni meanness kiasi gani?
But I agree kuna wakati mnaekeleaga kanusu mkiwa wawili alafu jamaa anawajoin na dame yake sasa inabaki kanyama kanakua ni bites.
Unafeel lakini unasema haidhuru.

KTalk CSI wamekuwa wavivu sana

[ATTACH=full]107143[/ATTACH]
Another plot twist … hio rolex huyo manzi wa @vunja deek alibeba kwa kibeti kutoka home. Ni ndubia tu ame.buy hapo kwa kibandaski