Jiwe ameendesha kikao Ikulu saa nane usiku

I guess you believe what you wrote here. Now let me prove to you how ignorant you are in arguing what you clearly have no clue about (the “you” here includes your likes). Assuming you can read and understand what is written; read the document from the following link and tell me who was the President at the date of that document. It is possible that you won’t understand what that document means; so you can ask someone who actually understands such things. My advice is that don’t ask any Lumumba affiliated fellow, you are unlikely to get any sensible information about this from that lot.

http://documents.worldbank.org/curated/en/734401468117560223/Tanzania-Integrated-Roads-Project

And by the way Mr. self-proclaimed smart parrot; I did ask you to name only one project that your idol has started and finished. Am still waiting.

Keep on being foolish as clearly you are beyond help.

Hizo ndio ilani za chama ewe nyumbu, haijalishi nani alikuwa ikulu enzi hizo, ni mambo walikubaliana kwa kamati kuu, na maraisi waliochaguliwa na kamati kuu walipaswa kuimplement, ndio wanazi implement as you’re arguing here while they’re winning the hearts of common wananchi, sio kwamba ni ideas alikuja nayo raisi alone. One project my idol has started and finished? Poor you, not one, plenty of them and more are coming, but that doesn’t mean he decided on his own, no, hizo ni mipango ilishapangwa na kamati kuu, mengine kachukua kutoka kwenye ilani za vyama pinzani, like aliomba apewe ilani ya act kuna implementations aliona ni worth doing them. I will mention you one project.
Unakumbuka ile uhuru day that was postponed, any idea where the money went? Mwenge to moroco road was expanded and refurbished with the money, tazara flyovers? six lane kimara to chalinze is being built now, by 2020 sgr to moro will be completed, plenty of them my guy.

Keep on being a foolish nyumbu and a jealous one, as clearly you’re beyond help, and this is the last argument with you, because you tire me, replying you. Do not reply me now plz, go on with your sadistic life

Uliyoyaandika hapa ndio reflection ya kila mkata kiuno (i.e. mfuasi wa ccm hii). Nyie mnashangilia kila mnachoambiwa haijalishi ni cha ukweli au cha kipuuzi. Kwa hiki ulichokiandika hapa umedhihirisha uwezo wako wa kufikiria na kuchambua mambo - and the fact is you have none, zilch! Bahati mbaya sana kwa nchi yetu ni kuwa watu wa aina yako ndio mliopewa madaraka ya kutekeleza majukumu muhimu nchini.

Japo najua ni ngumu kwako kuelewa nitakachoandika (based on what transpired on this thread between the two of us); utajadili nini cha manufaa kwako wewe - achilia mbali kwa nchi, kama hujui hata basic principle ya majadiliano? Ninakupa mifano miwili tu:
(a): Nilikuuliza NI MRADI GANI AMBAO JIWE UNAEMUABUDU ameuanzisha na kuumaliza? (Mtu mwenye akili na uelewa wa project management atajua kuwa project huanza na feasibility study, then design, then resources planning and procurement, followed by implementation and finally evaluation. Kwa mantiki hiyo, project ipi Megafooly unaemuabudu ameifanya?
Ulijibu hilo swali bwana kasuku? Nope; maybe unasubiri jiwe aseme porojo zake na uongo wake ili nawe uurudie kikasuku.

(b) Nikakupa facts za miradi ya barabara ilipoanzia na phases zilipofanyikia. What did you do? Uliniita mimi muongo. Well; I proved to you with irrefutable fact. And what did you do? Pamoja na kutukana (kitu ambacho in itself kinadhihirisha wewe kutokuwa na any tangible or intangible evidence kuthibitisha unachokisema) ukarukia “ilani ya chama”. Umeuona ujinga wako hapa? Kuna uhusiano gani kati ya ilani ya chama na document ya world bank na phases za project management?

Nimekujibu ili kukuelimisha. Kama unajipenda wewe binafsi na familia yako (kama unayo) basi utasaidika siku moja ukianza kutumia akili ulizopewa na Mwenyezi Mungu kufikiria na kuchanganua mambo. At your rate - and on evidence of your repeatedly use of the word “nyumbu”- unazidi kudidimiza uwezo wa akili yako kufanya kazi kama ilivyokusudiwa na aliekuumba. Jifunze kuhoji kila jambo. Mungu muumba wa vyote nae katuambia kupitia neno lake Isaya 1:18 kuwa tusemezane nae (kumbuka kuwa aliekuumba na ambae PEKE YAKE ndie anaepaswa kuabudiwa na kuaminiwa kwa kila jambo litokalo kwake bado anaruhusu umhoji!) Mtaalamu wa animal behaviour (au mtu yeyote mfuatiliaji) atakuambia characteristics za nyumbu, na ungezijua usingeendelea kulitumia hilo neno kwa muktadha huo mlioukariri na usiosadifu hali halisi - another proof that you guys never use your common sense.

Don’t say you were not forewarned!

Forewarned by your sadistic self, niga plz. Ati unaniambia hakuna mradi magufuli kauanzisha akaumaliza, hakuna irrefutable fact uliyonipa. Unaniletea mistari ya biblia alafu unamwita megafooly. Nishakwambia potezea kunijibu, to me you’re just another nyumbu yapping, na uzuri ni kwamba najua nabii hakubaliki kwao, na hakuna kiongozi atakaependwa na watu wote. Nimetembea mikoa mingi utawala huu, na nimeona maeneo mengi yalivyokuwa na yalivyojengwa, kuanzia barabara za mitaa mikoani, machines za kitabibu kwenye public hospital, meli na ferries kwenye water bodies, mandege kwenye air transport. Sasa nyumbu kama wewe unakuja niambia hakuna mradi magufuli kaumaliza, nakuona kituko, wakati miradi ya sgr inaendelea, na ina deadline, tizama reli tv youtube uone kazi, ndege zipo kwenye viwanda zinatengenezwa, mnasemaga ni mtumba used ilhali hamna evidence na bombardier walishamjibu zito kuhusu hilo, etc etc. Nakuona ni punguani mwingine tu anaenipotezea muda wangu kujibizana jibizana humu mtandaoni. Just another proof that you haters will always be there. Unfortunately 2020 sio mbali, witness that landslide win atakayopata, ofcoz mtasingizia ameiba.
Am a busy man, don’t engage with me again plz, sababu sitoacha kukujibu, na utakuwa unatwanga maji kwenye kinu budaboss.

Hapo kwenye bold. If anyone had any lingering doubt about your insanity that doubt is no longer a doubt but a cast-iron certainty. Ni kwa wakata viuno tu ndio kwao kuendelea ni sawa na kukamilika. You sir, have proved to all and sundry that you are at best a twatting moron.
Am done with you. Some people here - and I mean intelligent ones - might soon start wondering about me if I keep on entertaining a twat like you.

Fuck off moron