Jobless

@uwesmake…hiyo isikushtue…kuna mtu anashinda akiniuliza story za online jobs…showed him one and he is making at least enough money from this http://hotlogo.net/p115358/ now i want @Jazzman atuchanue na ingine tusaidie raia hana waks

Sema qualifications zako tuone kama watu tunajua waneza saidia wewe

hotlogo.net is a scam , just google it, meffi wewe

hotlogo.net is a scam , just google it, meffi wewe

1 Like

Hii inataka uwe conversant na google na linkedin, uwe na net mzuri inaweza video chat once in a while for atleast one hour.

https://leadgenius.interviewed.com/jobs/data-researcher-ie

1 Like

have you tried it?

utaweza kuwa waiter club?

1 Like

K

Kuna kitu NCA hukataa siku hizi.? A little grease on there corrupt hands and they look the other way…

1 Like

hutawai lipwa

Chief! You ain’t a mbirrionea

It’d be better angejaribu GeoPoll. Complete the surveys earn at least 500/= weekly, alaf convert it to cash hapo kwa kijiji…thank me baadaye

Hao the least wanalipa ni dollar tatu per hour. 500 kwa wiki ni jokes

Mbosss Haiwezi nishinda hio

@Jazzman naona the application deadline was 15th march…so hiyo imepita hivyo tu.

n by 3 dollars per hr translates to 24k-48k shillings per month?

Angalia vizuri. Kuna opening 29th march

1 Like

wanasema All hires are expected to start in the: March 29th or 30th, am i missing something?

Oh, basi walifunga. Ngoja next month.

sawa brathe

send me your number pls…

This guy seems serious… Wenye mko na jobs tafadhali mpatieni

If you can sacrifice ukuje nikusaidie to build a business for 1-3 years ukue sorted all your life nione kando…but kama uko ready kufanyia muhindi kazi ongea na @uwesmake