Jukwaa la Kiswahili

@epoch ni nyanja ipi ungependa tuangazie?

Ningependa sarufi

Sarufi ni kipindi kipana lakini nitakushughulikia.

Nitashukuru

Unaomba forum na wewe mwenyewe unakitwanga twanga kiswahili!.. …Thicwo!

Mtu hukosoa na kurebisha. Lakini ujumbe wako nimeupokea.

Hebu tiririka kidogo tuupime huo ugwiji.

1 Like

Tujumuike kwenye uzi huu huu ili tujifunze Kiswahili