Jumia kumenuka

Jumia iko to sawa… ata hiyo app yao ya Jumia party… unacheki vile pombe inaletwa kwa location yako kama uber. Very useful na hii corona