Kabla Bashite hajawashitaki, TRA walishamshitaki

mkuu Akili za hii mifugo ya lumumba n kama za maiti tu

na we msukule umeleta kende huku?, endelea kusifia mabasha zako fisiem

Looh chukua chako mapema

Cheupe wa Tegeta

mtu akipata divisheni zero form four hawezi kuwa vizuri kiakili,hata mkimpaka dhahabu usoni atavurunda tu,jiwe si alisema anataka ma RC kama bashite haya ambebe na hapa asamehewe kodi na ma RC wengine wamwige kama jiwe alivyosisie kipitisha bandarini kama tiza,waagize vitu kisha waruhusiwe kuitisha bandarini

Shamba la bibi kila Mtu anajichumia Ila uwe fisi emu

Luambo, Luambo!

Huku mambo ni mpwitompwito
Nalog off

hAhaha