kaboom!

Time to go crunk. Hizi handas zina craving. DJ Arika @ pang PPP tv

Waah!! kwani bibi alifunga bedroom? Ina kaa umelalisha hii umama na ulevi yako yote kwa kiti ya sitting room. They said If wishes were horses, beggars would ride :D:D:D:D

mukundo coomer ya pipi ata kama naeza taka kuferegenya SAA sita mchana kwangu sio stress. Nilisema nagurumisha kukichaa. Niko karibu kutema Veve 500am. Natakaga kuchana hadi then ndio ukienda kufungua duka ya muhindi unaniachia bibiyo.

Si nikisikia veve, makali na bibi hazipelekani? ama nilielezwa vibaya? The heart desires but the body refuses :D:D:D:D

Iyo ni yako! Ama una scientific evidence? Ni huchana na nina watoto wawili.

Sawa. Lakini acha contacts zake hapa ndio elders wakusaidie kazi boma isibomoke coz I assure you ukiendelea kuchana hivo hiyo coomer utaikulanga na macho

Kuliendaje mzae? Bibi anapeleka ushuhuda wa kuonekanio ama nikupanda mbegu mzee aamushwo?
Umefanya nijiskie kuchonga, its been awhile

:eek: Hata mimi nachindwa sababu niliona alikuwa kijiji mpaka asubuhi.

hii ni kama ku celebrate own goal.

Veve has elements of hallucinogens. Alikua anajichocha hadi saa mbili asubuhi wife akienda church. “aki ya Ngai murume wacha mbimbi arundi kutoka church. Niliona usiku nitamchelewesha kanisa.” trust me veve is capable of giving you such hyper-wisdom

wadau threshold ilifika na bibi akaenda church. Niliamka saa tano aliporudi kupatia Bae breakfast mzito. Sasa hivi amerudi kitandani ndio muscles za coomer zidegenerate. Am off kuchonga pale bismillah Thika.

PEP manenos? I can relate.

Your liver is dying bro

unaeza nijua kama ulisomea Thika primo ama unachapaga makali base pub Kwa ngangalito!

Kama ulikuwa Thika primo wakati wa gakumo