Kama una stress pitia hapa, usiache na wewe kutupia maneno yako!!!

Msingi wa maisha sio hela, ila watu wengi wanafikiri katika msingi wa maisha yake atafute hela ili aweze kuishi, hela ni mifumo ya kidunia tu maana hata Mungu alipoumba dunia hapakuwa na hela"- Mrisho Mpoto

Ukipata Mpenzi mpya usianze kupigia watu kelele utadhani sasa unadate na malaika,malaika wote wako mbinguni

Mimi ni wa team Brazil ju ya Willian

Lakini niko nyuma ya swis.[ATTACH=full]176940[/ATTACH]

Kiswahili chenu kinatutatiza kama jina la Mwaisapile mwakafunga mwajf!

Hiyo ni sheng

Ila watamu sana

Hahahah!!!

Heheheh!!

Bwahaaaa, Bwahaaaa, yaani nimecheka mpaka wanaoangalia mpira wameniangalia.

MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake…bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=.
Kuna jamaa akatoa 500/=.
MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza.
MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji.

Nmepata vipofu wawili wakipigana… Me nikaruka juu nikashout “Am supporting the one with a knife”
Ile mbio wote walitoka, sijawaiona.

Do you know what is the meaning of 3Ks?? kama hujui Iko hapa…

K-Kuomba.
K-Kuongea.
K-Kusikiliza.

Hawa watu huoga asubuhi wakiamka, kwani vitanda vyenu vinakuanga na matope???

:D:D:D:D:D