Kama wewe ni mwanaume na unafanya haya mambo... change your name to Shaniqua

The most disgusting habit I hate in shaniqua like men is the limp handshake.:frowning:

My dad taught me that a handshake defines a man.

:D:D kufinya mkono kabisa na kuishake properly

Men should be rough… Not only in actions but Hii story ya men kuwa na soft skin kupea madem compe is not inviting at all…

Lazima nioge na maji warm mimi.

brathe unafaa kumea vagina kama unaogopa maji baridi

hapo Umeongea kama wanawake kumi. mwanaume ni kuwa Na rough cast skin kama @iguana4 aka @clawmatsu aka @Kasighau

Maji moto mara ya mwisho kutumia siwezi kumbuka

Shindwe!
Riswa!

@Okwonkwo , this message is fully endorsed, except for point No. 7.
Jamaa akisneeze lazima aseme “Excuse me.”

hapa kuna wanaume kama mabinti.

@Elgin Na @Kirwa wanafaa kupelekwa kwa river early in the morning for a second circumcision

In business, that is a man I can definitely work with.
In pleasure…let’s just say a handshake is a clear indicator of your strength or weakness .:oops:

mwanaume ni kuwa waharia. unasneeza kama umetema Na huko. :smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

Niaje Niaje mwalimo?

:D:D:D:D wewe tunajua huwessbeba tissue kwa pikpik

Number 25.
Mwanaume kukula sembe na fork.
Hii inaumiza roho yangu saidi. Nasikia uchungu kabisa hata naweza lia.

:D:D:D:D:D No that is disgusting.
But I know men who don’t use handkerchiefs . They just squirt the mucus (seriously no pun intended) huko kando ya barabara.:smiley:
I am really conflicted about that.

kukuwa na more than two sufurias na we ni bachelor
kukuwa na number of pegs zinatosha nguo zako

mimi naonganga na maji moto mpaka steam inatake 5 mins kuisha. Nisipooga ivi sijaoga mpaka kifaa yangu haiwes oga na mimi ati inachomeka:D:D

It’s plain disgusting…

No comment

Haiya! Si Hammurabi alisema more than 6,000 years ago hao si wanaume, ni wamama wako na ndevu?

Kwani umekuwa wapi?