Karibu supper

Hio samaki iko timam lakini kuna shida moja… Nashuku umenunua hapo kwa mama oti!

Ndio nimemnunua kwa mama Omosh… siwezi taka kumnunua kwingine. Pia nawe karibu hata kama naona muda umeyoyoma.

uli-expect anunue kwa mama nyagothie?

1 Like

Asande bro… Lakini naomba unikaribishe pombe instead. Tutakuwa marafiki sana

1 Like

Nu

No way you cooked that by yourself, secondly Kula na ugali na maziwa Mala baridi.

2 Likes

confirm kama unaweza amka afta kula iyo fish yote?:smiley:

1 Like

Ndo maana nilimkula kwa wali, ingekuwa sima bila shaka ningekuwa nishalala…lakini sijamaliza nimetumia quail picha akasema atakuja kesho tuimalizie…hio inamaanisha nitamkula yeye :D:D:D:D. Karibu lakini.

Hehe Samaki nilimnunua akiwa tayari…vingine vyote nimetayarisha mimi hata mboga nimekata kata.

I hope you deep fried the fish again. La sivyo utahara kesho vibaya, those mama’s sometimes recycle the cooking oil so much it turns black.

1 Like

Aihh jaribu unywe maji ya kutosha hiyo food ni dry sana.

1 Like

Kama utaikaanga tena hamna haja ya kumwagiza akupikie. Namjua aliyeniuzia na naujua upishi wake na sina hofu. Mimi hununua kwake pekee kama hayupo nami sili samaki.

Asante kwa ushauri wako…vinywaji vipo pia maji yapo tena kwa wingi…Chakula chenyewe kilikuwa na kachumbali. hakikuwa kimekauka kama unavyoona kwa picha.

Mawaidha yako pia yakaribishwa…ningetengeza supu ama?

U can b ruthless sometimes ati ameze.

I always leave a couple of long bones za kupick meno

3 Likes

:smiley: by the way what’s up with the swahili lingo.

1 Like

what’s wrong with the swahili lingo?

1 Like

lugha ya taifa

2 Likes

he he, @uwesmake, naona saa hii ati chameleon reverted to its original colors. beef na ma-Mod zimeisha? hebu nikumbuse jina ya jamma aliyekuwa anaringa akiitiwa N-yap mpaka anaahidiwa kupikiwa nyake…i think i am either growing old, or senile, or both…

Samaki mtamu ni ile imepikwa kama ya @Purr_27. iwe na nyanya, soup na pili pili. Lakini isiletwe na fork.

2 Likes

That’s how we lake guys do it. Hata samaki kubwa hatutoi mifupa, we just throw it in kwa mdomo n ulimi separates fillet from the bones. Then you pull the bones out na hapo kando ya mdomo

1 Like