Shukrani kwa wazo murua.
Litafanyiwa kazi.
Shukrani kwa wazo murua.
Litafanyiwa kazi.
Anko usiniambie umekuwa mod tayari hahaha
Tayari anko.Karibu ujisikie upo nyumbani.
usinisahau na mimi Uncle kwenye u mod…kizuri kula na nduguyo
Jose niaje, ushapata hema la kutosha kwa kujisitiri kwa wakati huuu
Chief niko naugulia maumivu ya JF kufungwa aisee hapa…ila huku atleast ntafarijika
Haa haa usijali anko
tuko pamojaa
Basi nafurahi kuona new villager Kule tulizoea, member ,senior,expert dah! Mambo yana change
Asante
Aiseee. Hatimaye rafiki. Lol.
Namuona Mwifwa ashafika kitambo duuh
Mtaniii mambo…
Hahah! Mwifwa tena kwani anakawia basi? Na wifi wa Kikenya anawaletea
Poa Mtani.
Ila nimecheka lol. Niambie Mtani naona ushakuwa mwenyeji huku.
Hahahaaaa. Ndio vyema ila azidi kujifunza lugha ya malikia sasa. Teh teh teh
Hahah kidogo mtani sasa hivi na cheo cha katibu wa kijiji…
Ila nyumbani nimekumiss sana yaani siku hizi naiona ndefu kwelikweli…
Yupo vizuri wala usimuhofie… hahah
Hahahaa. Ka mie aiseee.
Ila kwa kuwa huku tumekutana ndugu na marafiki nina imani hakuharibiki jambo.
Eti eeeee. Haya bana rafiki.
Ila sio siri umejua kula kizuri na nduguyo. Wallahi vile.
Kaka ake tumekutana tena aiseeee. Mzima weye?