Kasarani Mwiki.

Woi thanks God nilikuwa nimeenda ziara , I did not use that route that day

Nikifika hapo nipate kuna jam mwenda mimi hudondoka na kwenda kamlesser

Kumbe sote ni majirani??chieko ndo ploti but kupeleka mtu na racketeer ni issue the pathways are pathetic

lol maybe huwa narushiwa vumbi nikienda roady once in a while by akina @aviator n @Black Templar

Kumbe huyu amepigwa equator?

So, many talkers live in Roysambu, Kasaa and Mwiki. Mmmh.

I see where you are going

:oops::oops: where?

My neighbor right there.

You are also from kasa

Yes

Kavitz kalikuwa kamekwama hapo mbele maternety kidogo na kakacause hio jam yote, niliwalk pia past hako kavitz hakukua na jam sikuamini such a tiny engine can cause that kind of a jam

2 Likes

wanaume hawakua karibu wakainue na kuitupa kando???

@WuTang sema kuona vision 2030

Na hizo potholes zote? Vision 2030 indeed.

@aviator, there was a tree ilikuwa imeanguka hapo kwa Kenyatta, half of the road was impassable till midnite… Passed there after midnight lakini watu wa pickups and power saws had cut up and curted away the giant tree… He he he…

Weka yako we compare… Mine works perfect.