Kazi inayochekesha kuliko zote duniani (usiache kupitia uzi huu)

wakitoka huko wanahamia majumbani. utasikia kila nyumba inakaguliwa kama imenunua samaki wa kula au lah…na hapo ndpo vipimo vitakapoanzia hahaha!!

Tanzania tuna matahira wengi sana, na wengi wamejificha kwa koti la "“WATUMISHI WA SERIKALI”