Kenya Power prepaid meter.

Lights za bedroom/sito/kitchen/loo na bathroom/, telly, decoder, music, toaster, pasi once in a week for like 5 mins max, kucharge simu once a day, laptop na router ya wifi cc @Yule Karis Black

@Ole_Wenu tumia tu usiseme lakini every month lipia units worth 200 hivi to cover for the fixed charge cost which I think huwa kitu 170 hivi Otherwise usipolipa siku wataifix utalipia ya hizo miezi zote

1 Like

Ole wako io interface ina kasoro, ikibaki hivo for more months ujue standing charge zinaongezeka.

Mimi pasi daily, coffee maker daily, old fridge na hizo zako minus toaster

9units per day adds up to less than 5500 per month. when my kid was a few weeks old that was normally my bill coz. of room heating

1 Like

There is no way they can notice. Some houses go without tenants for years but they don’t bother. The next step now should be to use the power in every conceivable way. Unaweza at anza kupika chapati na githeri upatie mama wa kiosk compe.

2 Likes

Better report. When they suspect you ,ofcourse using their computer system, based on your average consumption you will be hit hard …you will just come here crying !

Kwangu we use 3 units a day with appliances like 11 bulbs, TV, decoder, Fridge iko on 24/7, shower ni instant heater, 2 phones charged daily, pasi every weekday, laptop charged occasionally.
Efficiency of appliances is a major factor in consumption.

2 Likes

Thanks for the business idea.

Speaking of units i tried buying za 200 jana and they sent me this upus[ATTACH=full]77133[/ATTACH]

kwani hujanunua tokens for two months

1 Like

Kuna doo za fixed charges.

thats why nimeambia jamaa hapo juu alipie fixed charges. ni kama wanadai fixed charges ya this month kutoka kwako

1 Like

true, watu watumie energy saver bulbs waachane na za fifte

Hahahah hakuna ata kafridge ivi …fridge ni muhimu kwa bachelor kuweka maleftover ivi na konyagi

Ukuwe ukilipa kitu ka 300/- kila mwezi kuwafunga macho, bure utakujiwa wakati balancing HQ itakataa kuingiana

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D tulia hiyo ni vision 2017.

2 Likes

Mathaais you are a peasant without an oven, a sizeable fridge and no bath tub.

@Web Dev kuja ona hii muchinga nanunua tokens kidogo kama airtime. Wewe utatuambukiza ufukara hapa

4 Likes

Mimi siwezi sema…they fuck us up everyday and when luck finally shines on me nijipeleke mbele neffa effa. ION I know of a house unit yake imeshinda 20 for the last three years!

1 Like