Kenya Superbike Championship

Ukiwa na Bajaj unaweza compete?

Jitokeze niliona ata ingine inajiita Hionin

Ilikuwa Ruiru wapi exactly???

Njia ya Kiganjo Ruiru…Kwa kahawa huko ndani

ndio maana wewe huita watu panya :D:D
[ATTACH=full]138683[/ATTACH]

:D:D Hiyo ni petroli ya wenyewe. Nilivuruta kidogo tu.