Kenyans Kenyans

panda ndege kaka, ama ni rela unasafirisha

Holy siet! :D:D:D

We, izi ndio gani @mona_lisa kwisha sisi, oooh my dead grandma … Tutaficha mecho yetu wapi, hizi nini tumekuja ona? Nirudishwe kisii nisione haya ninayo yaona!


Private cars ni mob, kama mtu hana gari si mna carpool na beste au relative.

Translate!

unge carpool kwa hiyo c200 merc

Mi naskia kama nitatokea nibebe watu. I have a friend hatumii Noah yake saa hii.

lazima watu wajazwe kwa cabin waende upcountry…

obeeeeee!!!

Kwani zimeenda wapi hata huku Eldoret hakuna.

Past muhoroni junction, naona nikisalimia mama watoto mapema :p:p:p

Uko sawa :D:D:D Niko Kamara heading to Total junction.

Hehe next year nanyanganya bibi gari, hii maahida na wacha Egypt.

sasa ukimnyang’anya gari atakua anaendea vitunguu Mayanja na nini?

Don’t plan on coming back to eldoret before 25th

I have to, Tuesday in the morning I have to represent the SSP in the national holidays.

Impure unajua hadi mayanja vitunguu market @gashwin kuja kidogo.

Ungevaa uniform alafu utafute makosa kwa ndae ungeenda bure

What kind of an example would a Canaan Security operator be showing if he heeds your advise

Impure unajua hadi mayanja vitunguu market @gashwin kuja kidogo.

unapost tena kwani unataka like ingine?