Kenyatalk tumefika Buyer Beware

[ATTACH=full]201374[/ATTACH]

@pseudonym = … ama wacha tuu

ati ki:D:D

niliona kichwa kwanza nkafikiria ni Timmy Tdat nikascroll chini nkaona mwili full nkafikiria ni mtu amephotoshop kichwa ya Timmy Tdat kwa mwili ya dem, nikachunguza kiasi nikagundua kumbe ni dem. Nkalog out ndo nmerudi tu saa hii

Maliza tu.

Huyu ni ule alikamuliwa na amosadeh:D:D

:D:D

Ati Nini …??

[ATTACH=full]201455[/ATTACH]

rexxsimba sasa umekua mwanamke??
:D:D:D
Funzwa na @Shiroe kuweka pink handle

But huku kuna maidlers wengi sana ni ukweli.

ndio nimetoka kwa muhindiii

Yani the first link aliona after kufunguwa ktalk ni sex and relationship.:smiley:

Is it just me or does she look familiar
Ahaa

Jamaa ya kasabun “inawesa haiwesi”