Upus site.
nataka kua mod
Register kwanza
Achukuwe@Trix@smith@mukuhi…
that site has two people, no one…jay na admin ambaye ni jay
Huchoki kupigia mbuzi guitar??Frm 6am umeconvince watu wawili??Generally you are slow in life
pole pole yu, siku moja uta sign up wewe mwenyewe bila kuambiwa
Nipatie mod nikuje
Look at these mod beggers …a bunch of cucks is all i see[ATTACH]97023[/ATTACH]
wazi ingia na ukuje na kdf in pictures
So it is butthurt @Jirani[ATTACH]97031[/ATTACH] wah siwezi mind kujion prob ni kuwa mse posts zote ni story za huku anafichua…don be a snitch bitching shit[ATTACH]97032[/ATTACH]
Hehehe jirani ni MoD
Wacha nichungulie uko, kwani eko nene…
mharo mingi sana huko
Nifanye mod nihame
Wacha nibaki hapa. Wenye wanapenda ukabila waende huko.
Wale wanaenda endeni bila kusumbua. Mimi nakaa hapa papa.
Hatuhami