Kikuyu Owned Restaurants

Wakamba pia. T Tot hotel sirudi

Hehe labda somalis wa nai wako na improved hygiene but from previous interactions with them elsewhere siwes guza chakula yao… But omosh kibandasky niko sorted na 150

Kamano baba, med volume toke koni mondo wawinji

Hadramoot restaurant
Jam street
Itisha Rice special

The only somali restrurant with good food is cjs izo zingine ni ghasia…
Fyi. Kuna tofauti kibandaski na restrurant… naona wengi wenyu hamjui tofauti :smiley:

Waaah, lightskin umeumwa tangu 2017 yaani
[ATTACH=full]281642[/ATTACH]

Hehehe. How did you know the tribe of the owner?

[ATTACH=full]281643[/ATTACH]

Sisi watu wa kukula kwa bushere na bar hatunanga shida kama hizi.

Somali restaurants are good.the other day was in another one in eldoret called “Maggy’s” they are good in beef wet fry

Na Servietes wana slice into 2 ati to save cost !

You find a group of workers in the morning sitting round a table slicing them.

Yeah. At least I am consistent.

Hizo za walaloo ni tamu na mob but nawe mafuta unakula kwa wingi

@Azor Ahai == @Muturandom == Brownskin == @jaymoh

Hii ni 650 kwa okuyu, with a fancy name.

@patco your bamboo opinions?

Swahili dishes pale Tea Room next to Randa coach- pilau mbuzi unashiba vifyam, bill ni 250/= and tasty AF

Ikifika mambo ya kitchen tuko down hapo hakuna nini ama nini alafu uwongeze ungati ya Njoro siwezi shangaa kama hizo nyama niza punda !

Kuna restaurant ingine ya mungich nilienda kula fish… waliweka stew ya fish iko na minji na waru. Sijarudi huko tena.