kikuyu women

@ gashwin ehikitie or in other words kwiraciria she deserves it.

1 Like

@ gashwin ehikitie or in other words kwiraciria she deserves it.

1 Like

Wewe wachana na Cucu!!! Mpe kaquarter kule Santa Fe afuge mbuzi :D:D:D.

All my kikuyu wives are luhya by default. Mambo ya shamba wazee wakiongea wanatulia kama maji ya mtungi

3 Likes

he he. i like that. how many are they brother?

1 Like

he he he,kumbe ndiye alifanya ukatiwe kashamba kinagofu?

1 Like

hako kanakalia miaka ya overdraft

Sufficient :cool::smiley:

Kwani hao masister zako wako how scary hawaoleki?

hata mama yangu hajafikisha 70.lakini hawa wanawake wetu ni visirani,sio kuua,sio kuuzia sisi pombe wameweka tampons,umalaya na kutumia dawa za uzazi halafu kulia hawapati watoto

2 Likes

In kikuyu traditions kama ameolewa aende kwa bwanake anganganie shamba huko. If not she can inherit her father and mother.

Ha aha jokes nazo …whether umeolewa or not unafaa kuwachiwa kitu lakini this leads to alot of single mothers or unmarried women as I have experienced

1 Like

Agreed.

ikiwa ni kubwa uko na haki upate hata kama umeolewa,lakini imagine ako kwake na ako na shamba kubwa kuliko hio anadai,kama hana nikiwa na pesa na wazazi hawakuwa na shamba hata naweze mununulia,lakini hii mambo ya kudai juu katiba imesema hapana.hata yetu niliacha nikaenda kununua huko sante fe,

1 Like

Hehehehehe. Am breaking up with my okuyo GF

mimi wangu atakapo olewa nitapatia mumewe receipt imeandikwa ,goods once sold are not returnable or exchanged