Kilimanjaro, Kenya's or Tanzania's?

expound more on “original maps”

Am talking about the first white man’s drawings…otherwise, there was no authentic map of anything here before the white man. Africa was one big black man’s country.

Uf u cant see mt kenya from yoyr home. Then u r not in kenya.

1 Like

MUNGIKI WEWE

Kumbe kunabaadhi ya wakenya ambao ni washambakia kiasi chako.

Sasa ukija kudai Kilimanjaro then na sisi tuje kuchukua Mombasa na Lamu… (kumbuka kwamba zilikuwa part of Tanganyika)…?

La. Mombasa and the entire coastal strip was under the sultanate of Zanzibar before Kenya got its independence in 1963.

So by default ingekuwa ndani ya tz hivi sasa.

Ingekuwa lakini kwa sasa coastal strip ipo Kenya

karibu sana Ktalk ndugu. Sina ubaya na wabongo nawapenda nyote. wife wangu mwenyewe amaetoka bongo

Hehehe. I sounded like a Bongo, believe me I am Kenyan. That lady comes from Bongoland.