kitoweo

AP nawahurumia imajin hio undercut inakaa nyumba ya mabati round. Halafu kuna shida ya maji. Hii ukipeleka Kayole inakatalia kwako Hadi anakataa kazi.

Shimo mbaya Ni ya nyoka

Si kila MTU anaishi kwenyu kayole

Uncle tuma pesa ya beer mbili bana

Uko wapi Chief

Ndio nmetoka tao… Towards thika

Sato basi

On it… Ni leo jioni… Tukule pesa ya kwft

Swafi pesa ni mob nakunywa bado space ,

unasema nini na huyu ako Holiday Dar yet ni AP. In fact yeye huenda maholiday mingi sana[ATTACH=full]246692[/ATTACH]

Na mshande ya 9k?? Kweli duka inafanya Kazi.

wewe huoni hiyo ni kale kanyumba huwa kwa major gates?