klist down

LISTERS NEVER DIE. kumbe mlinitangulia huku wakati nafuata #kenyanlist kwa twitter kuona kama kijiji imefufuka. sandenisana.

Nimekula ugali le

Budspencer ako hapa?

Hajawasili bado, niliwacha kama amepanda ndege sijui ameenda masomo or some nonsenseā€¦

dannycondom kwa kijiji mpya thanks to the link listersā€¦

dannycondom, kwani unataka listers wakue kila mahaliā€¦tunaweza upgrade hii kijiji ikue kama klist pia.

2 Likes

Kumbe watu walihamia hapa? Withdrawal symptoms za Klist zinaniua.

1 Like