KT, please make a Forum for JamiiForums, we are lonely.

Asante Kwa wito…nimefika tayari.

mbona hawa wabongo mnawapa vyeo ovyo ovyo ovyo

?

nimeona hii thread nikakuja mbio. Sadly it seems only Mathice still retains his cajones. the rest have been infected with mkuu sickness. Tripping over each other to help

Tulia wewe

Next utaskia that we move the Ktalk forums ndani ya JF

Ma ya Ngai ingiruo uguo mathice no gwithica na kaara

Mbona wakenya walikuwa jf Kwa hiyo sisi kuwa kenyatalk ni fursa kwao Mimi ni mtz nilikuwa kenya T miaka zaidi ya miwili iliyopita hadi Leo nimejivinjali rasmi

Hapo ingekuwa poa maana wore tungetu

Ia apk

Baaana! Me ata nadai wakae tu huko kwa sub forum zao. ata siendagi huko. Swa sanifu to me is really boring.

Mwenyewee

@Maathais hujaambiwa poa

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/uzi-maalumu-wa-kupeana-likes-comment-chochote-upate-like.79256/
Kimbia huko kwa thread ya kupendana…

Admin has enough shit on his mind at the moment with all this crap of lifestyle audit!

Hizi lugha huwa sizioni kule jf. Hamna namna itabidi utukaribishe tu jombaa. Ona gikuyu nitukugeria kuaria oo mdogo mdogo. :smiley:

Nyie viumbe mna misemo dhalilii

Some how it distracting hope mtalifanyia kazi mapema

Acha woga