KTalk Villagers Year end party closed ?

buuda if you dont come expect a paybill ununue delmonte…umenihepa sana

15th ni mapema tusongeshe hadi 22 ,talk to the patron.

Kuna watu wakikutana hiyo mkutano, bash or whatever inaisha prematurely.
Wacha tubaki strangers.

Ohh pole for my misunderstanding then. Uligeuza handle from MFW ?

cant change tushapanga kila kitu…tuseme tutafutane na wewe after 22 mkubwa

Lost MFW during the famous migration.

Weka paybill hio siku nitume kitu chenye pinkies watakuwa wanatumia.

Anonymity is key.

Mimi nita tuma $20 for ile muta panga next year.
Hii ya Sat ni karibu sana.

sasawa nitaweka io siku

[I][SIZE=3]

[/SIZE][/I]

Yes but selected anonymity is okay. Sisi wengine hapa tusha kutana and keep it confidential to protect identities.
Some kama Maanzo Permanent7 say who they are. Na ni sawa pia.

Mark the date…March 23rd 2019

Asante. Now I know.

u either trying to get ladies to prostitute themselves or u want them to transport some drugs…thats just low!

Uko Lagos ama Abuja…kuna wakati nilipanga kwenda Kaduna nikawacha juu ya security north

Cheza chini

Sawa.
When ready inbox me the Paybill number for the $20, so I can do the necessary in February.

Wale wanakutana Langata cemetry wako wapi?

hahaha shenzi…

Admin alichukua star yako :smiley: