kuchukiwa kuenda xmas kama hauna kakitu

Kwetu ocha, kwa cucu , ni extended family with kindu seven homesteads za my uncles. Ukienda lazima uwe na kamzigo ka kila homestead. And before ukae chini, the uncles wanakuita kando mmoja mmoja. Unatoa za kiroro. Kila auntie akikupikia chai, anakupea shida zote za boma zenye your one year income hiwezi solve. Inabindi utoe kitu. Na saa hiyo childhood budies hawajapata info uko around juu umefika kininja. Wakipata info, wanakuja teke teke.
Mi ocha siendangi holidays come rain or floods.

14 Likes

If you are broke enda home like a snipper and toka kama snipper.Make sure umefika late at night. Ukiulizwa wapi shopping unasema umefika duka zikiwa zimefungwa kwa plot…stay indoors most of the time…mtu akikuomba pesa unamwambia iko kwa Mpesa utatoa baadaye umpatie, then kutoka ni asubuhi before watu waamke…una sema umeitiwa emergency job. You end up spending minimal on the necessary people peke yao.

8 Likes

mih huskia vibaya sana nikienda sachang’wan (hii nimeiskia hapa ktalk) alafu napata mavijana wamemalizwa na pombe duni… kuwapatia kitu kidogo haitasaidia… tumechanga doh na macuzo wa Nai tuanzishie mavijana huko biashara largescale ya mayai na carpentry alafu tuziuze nai…

4 Likes

Luckily for me,in our family tree hakunanga hii maneno ya ku-expect upewe kakitu,infact ni aibu ukaskika try ing to start a conversation might lead to that direction. Shida tu ni ma child hood buddies. He’ll go drink cheap liqour with the little ulimpea, getting drunk silly then usiku ataenda aki-shout insulting people in every homested on either side of the road all the way from the shopping centre hadi kwake/kwao

1 Like

@Afro ile noma nikama umetoka outside country example DUBAI ama USA hawa mafala wanadhani umekuja na dollars
sasa ukifanya blunder ulale home …lazima watakuja ma ma-panga…:frowning:
no wonder unaonagaa msee akitoka majuu atakuja kugotea wazazi anaenda kulala nairobi town juu ya izi ufala

2 Likes

After campo sijawahi panda matatu nikaenda ocha, tunashikana na mabro tuna hire dinga

I have a rule nikienda ocha kutoka homestead ovyo ovya na upuss ya ati kutembelea marafiki sifanyangi but anyway I am a sociopath usijaribu mbinu zangu

1 Like

Enyewe hata mimi siwezi enda kama form ndio hiyo

1 Like

mûrio kwenu nî kiambu wapi?

I pulled a bit of this stunt years ago. Nilishukia Ngambo instead,then cut across the valley approaching the home directly bila kutumia main road. Shida tu ilikua that jioni,out of touching nappier grass on the narrow path as i ascended towards the home,the tinny hairs za nappier grass zilinifanya nijikune like crazy,it gets worse when taking a shower

1 Like

Watu wa kulewa mi huwakausha live na wakiwa na ubaya mi huwaambia waseme. Kwani iko nene.

Chukua boda msee. Unaambia rider akanyage mafuta na unaweka kichwa chini. Hakuna mtu atajua.

3 Likes

o_Oo_Owaaah iza bro…

hawa ma uncle na aunty huni-uthi sana…unapataa msee anakuambia mashida hadi za school fee kwani wewe ni MCA ati ni kura unatafuta

NO WONDER wasee wengine hulenga kuenda home na anachange number

example dame mwingine nilikatiya wa mpesa,but she was always stressed up…salo anapewa 8k na home ocha kwao kila siku lazima awatumiye za sappa :frowning: sad /wazazi wengine hufanya watoto wao hadi wakuwe malaya kutafuta mbeca

6 Likes

Hao ndiyo wazazi huforce watoi wao wadrop out of chuo waende wakafanye umboch ama kutuma watoi wao wakaishi na distant relatives. A very common habit in western Kenya.

I remember nikiwa mdogo. Out of hio upuzi,there were relatives who would prefer that wakija Kenya,grand mum to be the one to visit them in their Thika or Nairobi home for i.e a week. Since wakija ata kama ni just for a day,wanaeza muwacha akivamiwa usiku by the idiots who now think lazima akue aliwachiwa kitu kikubwa

Hata dowry inalipwa kwa account siku hizi juu ya hiyo upuzi.

1 Like

Boss it’s like you’re from my place bwana. That’s exactly how it is. Hizo finje inabidi use na mob sometimes it even exceeds Punch naona heri nipande boda kwanza nifike home then I’ll see them laters when I’m ready for them.

:D:D:D:D

1 Like

Soo mbili lock, kwani ni lock ya Solex? ukipea watano ni thao! Afadhali nipatie cucu hio ngiri, wakwende.

4 Likes

:smiley: :smiley: apo karibu na mugetho