Kuikataa Bajeti 2018/19: Ndugai awapiga mkwara wabunge

Nahisi Ndugai maradhi yanamzingua pia. Lakini tusisahau kuwa ni miongoni mwa watu wapumbavu kuwai kutokea kwenye nchi yetu. Sheeenzi saana huyo jamaa

Hivi usenge huu utaendelea mpaka lini?

Spika kawa kama monitor mnyamazisha kelele darasani

Umeleta habari au unameleta Chuki zako
wacha upuuzi

Hujitambui wewe
KT ilidoda kama mgonjwa aliye Mahtuti
leo imeanza walau kutikisika unatulea Upumbavu wako!!

Wajaribu waone boss wao Kibajaji Lusinde atakavyo wafanya

Kwa hakika wajibu wa wabunge siyo kuiunga serikali mkono bali ni kuisaidia ili iweze kupanga na kutekeleza yale yanayokubalika kijamii. Kwa kauli hii Ndugai anawatisha na kuwadhalilisha Wabunge kuwa wapo hapo kwa maslahi yao binafsi na siyo ya wale waliowachagua! Kwamba wakiikataa bajeti ya serikali basi bunge litavunjwa na baadhi yao hawatarudi bungeni ama kwa majina yao kutopitishwa ama kushindwa kwenye uchaguzi! Pathetic.

Mkuu naona kama kujitoa ufahamu haitoshi hivi…uzwazwa++++++++

Mamaeeeee, hili sasa ndio Taifa la Tanzania

kabla huyo rais hajalivunja hilo bunge kwa nini hao wabunge wasipige kura ya kumuondoa huyo magufuli

anaogopa kupoteza uspika na its royal treatments

Kwa idadi ya wabunge was CCM hiyo bajeti hawezi kupingwa labda kama kuna Siku tutakuwa na kura za siri.

We kaka ni tahira wewe

Masikini Tanzania yangu

Sijui kwanini mimi niko tofauti…

ila the fact that speaker isnt assured of a rule…we r going somewhere gud.

Mayalla alisema hili bunge linapewa Maelekezo wakamletea zengwe…
Haya yako wapi!?!?

kweli spika ni kilaza.tunatawaliwa na vilaza,eti wabunge wakikataa bajeti basi jiwe atavunja bunge ,ukistajabu ya musa utaona ya firauni,yaani wabunge wamegeuzwa daraja la kupitishwa kwa bajeti mbovu zinazowaumizwa wananchi,wakikataa etibunge linavunjwa

Spika wa ovyo na mchumia tumbo utadhani alikuja duniani kula tu!!!

Livunjwe tu, tuone matokeo…

Cc: @Mahondaw

Tuko Kenya hapa.
au Tz