kukaribisha weekend

Miraa ilkuja ikachosha na starehe yake ni ile ile ya goks. Since I discovered goks, sjawahi chana mbachu tena. stress ya kuchana, expensive for nothing na hundas ni ile ile. Mnafaa kula meirunji ya UG. Shit kitu ya wazito hiyo.

1 Like

True kabisa i used to spend like 5K per session saa hizi digital ya rwabe is more than enough na handas ya gwaka iko juu.

Handas ya gwaka ni nini.kwani watu wa miraa mumeunda lugha mpya