Kumbe Free Basics ilikua inaokoa watu

Hahahahaha

Hilo wanaloliita ni gawio!!je serikali inatoa ruzuku kiasi gani ?kwani kuna kiongozi mmoja alisema bado ttcl inapata pesa toka serikalini,wao bado hawajaanza kujitegemea sasa gawio linakujaje tena??

Achana na hawa matapeli wanadhani watu bado ni wajinga. Kwanza nilivyoona mubashara kisha gawio eti 1.5b nikajua ni uongo tu na ni dalili za kuishiwa kick.

Hahah!! Mkuu umetisha sana

TTCL inajiendesha yenyewe kwa expenses za zaidi ya billion 200 kwa mwaka hawapewi hata cent na serikali kama ruzuku

Wakitoa hiyo billion 1.5 haimaanishi hiyo ndio faida yao wao, kwa taarifa yako tu wao wana zaidi ya 30 billion after tax

So ndio rais wa nchi aende hadharani na vyombo vya habari juu anapokea 1.5b kwenye kampuni kongwe la zaidi ya 40yrs? Kisha wakati huo huo kwa mujibu wa ripoto ya CAG 1.5t serekali yake haina maelezo wapi hela hizo zimetumika. Kama kweli sio siasa nyepesi kwanini asiitishe vyombo vya habari aseme zilipo 1.5t za umma?

So ndio rais wa nchi aende hadharani na vyombo vya habari juu anapokea 1.5b kwenye kampuni kongwe la zaidi ya 40yrs? Kisha wakati huo huo kwa mujibu wa ripoto ya CAG 1.5t serekali yake haina maelezo wapi hela hizo zimetumika. Kama kweli sio siasa nyepesi kwanini asiitishe vyombo vya habari aseme zilipo 1.5t za umma?

Hiyo ni company changa I mean “TTCL cooperation” hiyo company ya zaidi ya miaka 40 sijui ni company ipi unaiongelea hapa

Hii TTCL cooperation ni company haina hata miaka 2 tokea ianze kazi

Kama nmb inatoa 16.5 billion kwa serikali
https://www.nmbbank.co.tz/about-us/resources/nmb-in-the-news/173-nmb-yaikabidhi-wizara-ya-fedha-sh-bilioni-16-5-kama-gawio-kwa-serikali
Iheshimu sana TTCL cooperation na uchanga wake kwenye kutoa hiyo pesa

Kampuni changa au kampuni yenye jina jipya? Acha hizo dogo hiyo kampuni ni kongwe na uthibitisho upo kwenye majengo na ofisi inazotumia mpaka leo. Ukitaka kujua kwamba kampuni ni hiyo hiyo lakini imebatizwa tu nenda kaangalie wafanyakazi wake zaidi ya nusu ni wahenga. Hebu nenda kampuni mpya za mawasiliano mfano voda, tigo nk kama utakuta staff wahenga kama wa TTCL.

free basics ilikuwa ikiokoa jahaz sana