Kuna Watu wangu Watatu tu siku nikibahatika kukutana nao lazima nizipime ' akili ' zao na Rula

Mimi naanza na wewe, rula huikwepi

Hmm!..

Samahani mkuu…
Hapo nimemaanisha yule Baba mwenye KOMWE…tehteehhh

:D:D:D…

Nasikia katoka na baba mkubwa:p:p

Mpina waziri Wa uvuvi na kitoweo

Usinitie Simanzi.Kuna majitu yana roho chafu kama kinyesi cha nguruwe.