kunguru kunigeuzia

Fact: wewe sio dereva WA kampuni. Tunajua wewe ni konda wa mat za Mwiki.

ulienda home baadaye kuwank

Hehe … so alihepa na change ya abiria

alafu we ni night runner

Sikatai

Exactly

Ukirudi … I guarantee utapata huyu dem hapo hapo tu. But atakuiba to your last cent. Hii game naijua sana. At my age mimi hukunywa exclusively kwa counter and I know these tricks.

wakanda ni wapi hapo?

@uwesmake kuom usaidie hii khasia yako

Ako Siberia mpaka Sursday.

Club Wakanda iko Westy

Hapo sawa. Acha a keep robber alai company …