Kunyongewa Net

depends on how the router is configured

nimepeana disclaimer that net ya job ibaki for kazi.

lakini kama speeds ziko fast wacha jamaa wetu abambike, otherwise how will they proove that hiyo mac was not spoofed and belongs to admin?

Muhindi aliblock YouTube na shosho media. Nifanyeje?

Na PhP , java c++ and plus LAN zichange. Code io Address then press windows+R. Type “Run” restart machine

Wazito…is there a way these ninjas know what u post or what u key in as login details to the various sites?
These fools are cut from the same cloth as their behaviour shows in all firms, mtu anakunyongea net unaeza fikiria iko na watermark ya nyanyake yet the bill is fixed.

logins zako hawezi ona unless you access websites without htpps encryption, hapo hata Man in the middle attacks ataweza.
hizo websites wakati zingine hufungwa juu mkinyonya net na torrents inaweza kuwa slowed down kiasi and impact those genuinely using it for work

Imagine ata sio torrents, fb/youtube/twitter we cant access from 8am-1pm, na 2pm-5pm.

1 Like

kama ni hizo si mgome nyinyi nyote and tell him that you use them for research. most of such blocked net utapata akina pornhub and xvideos huwa hazijafungwa.

mimi naye siwezi nongewa net, afadhali nisiitumie

:D:D…we will teach the ninja a lesson

Mujamaa fuata advice ya wanakijiji hapa uone muoto. Ulichorwa job ya mdosi sio ya public likes. Ukichunjwa works tuletee ripoti pia

:D:D:D:D

Tried my hacking skills a decade ago kwa net ya kazi. Nilitembelewo na MPs sura mbaya… Lesson leant

You can play games na admin kama kuna Wi-Fi but kama ni ya cable atakupata tu eventually