Kupigwa ban jf huwa kukoje

Mkuu, humu tukikuja tunabadili swag ili totoz watuone…

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Poa Poa mkuu Heshima kwako

Mkuu umetisha sana

Tunapaswa tutishe kama njaa mkuu, maana hawa manzi wa Keiiii wanajifanyanga wako juu joooo…

Tehetehetehe

Usiwalaumu sana mkuu, serikali yako imewabana sana.