Last week but one tulikuwa Mwiki tukalimana 2-1. Naskia kuna team moja kali sana kutoka baba dogo inatugojea. That a side I hope unaona umuhimu ya zoezi, I began playing football at age 5 while at St scholastica kindergaten in 1992 hadi wa leo (thirty years buana!!). Hapa ndio my discipline ilitoka. Kocha wetu alikuwa kama second parent performance in school ilikuwa ni lazima, mtu ange fail ilikuwa lazima you explain, majority of us made it to campus. Tulifunzwa madem ni wabaya, drugs ni mbaya, wizi ni mbaya. Tulifanya community work hapa na pale…and focused on football and books…:D:D
Nilikua nachezea Team ya huko Langata, LEYSA wako ligi ya Wazee, but since nihamie Kangudo Rd… sijakua napiga zoezi sana… Ningependa nijikumbushe hio mambo ya zoezi… Hapo MYSA saa ngapi? Wanakubali kila MTU… Thanks…
Morning hours. Kuna teams tofauti zupiga zoezi on Sunday. However, kwa turf watakukazia juu huwa wamegawana na Kila member huwa side yao. Kpl CEO pia hucheza hapo. Ni wazito. A good number of them ni wadeadly bado.
Shida ya ocha ni hiyo wivu na petty thieves. Ukikaa mbaya wheelbarrow inaenda, uiikaa mbaya tank ya maji inaenda. My mum in ushago anapitia hizo shida. Mara mbuzi zimeibiwa. Umekaa hivi watu wanakatia katikati ya shamba yako badala wakuje na gate. Creepy place
I solved this with cctv. The bastards had tried to feed my dog with poisoned meat. I survive by pretending I am half-crazy, if a fool gets on my wrong side I escalate it to the high heavens. They actually think I must have a gun, and that’s why I have the temerity/ audacity to come live among them. I have a tractor, Baler, as well as my vehicle, they are not secured at night but they have never been touched.
I realised settling in your own shags is almost impossible. You will find it hard to settle in an area where some people feel is their ancestral land, you will be subject to serious hatred. I had a former colleague whose husband was murdered when they moved to shags after retirement. Very sad.
I just want to add that all the village move fears are identical to our Diasporan fear when considering migration to Vumbinistan.
I’m not ready for the upheaval yet you can guarantee that. The noisemakers here who try to make it sound like they are living it up huko are constantly contradicting themselves when they complain about little things we take for granted here… one was just admiring how nice a 2014 car looks when here that would be considered a fossil… :D:D:D
Waliongeza ni 2350. Time imekuwa shida, before covid I was a regular and preferred doing my morning run hapo kwa field na kumalizia kwa turf na warm down.