Kushiba ni muhimu kabla ukunywe guiness

He he he…
Restaurant maguta maguta!

1 Like

hutashiba hiyo

Wapi mboga na Nyanya.

1 Like

Enyewe hii kijiji imebeba peasants from every corner

which club is this? kama ni ile i club iliyokuwa kimathi street was closed ages ago

na hiyo frame ya 256 Mb,hi food ni kama buffet kwake.ataambiana afungiwe later ju itabakia

2 Likes

Mm ni peasant BT si hio extent I think uko number 1

Kama hii ndiyo sampuli ya watu ambao tunatusiana nao hapa, afadhali… ama wacha tu.

Kwani unakula meza ama unakula chakula

aesthetics, man, aesthetics…kwani wewe ni wale hukulia mabati bora food ifike tumbo?

https://www.antiques-delaval.com/1515-12951-jqzoom/flat-tin-plate-punches-adegiuli-18th.jpg

Hiyo serviette usitumie. Weka kwa mfuko ndio ukienda choo ya kanjo usianze kulalamika eti unapewa tissue paper ndogo

4 Likes

using a soup spoon kula madondo ambayo haina hata thufu!!!

2 Likes

:D:D:D
Shait.
Wacheni bangi.

1 Like

ulienda NFD?

Zii. Kazi postponed.

1 Like

:D:D:D:D
gathee wachana na Guinness upate balanced diet

2 Likes

Reduce your budget for guiness and increase food budget kijana, otherwise utakufa bure tu. Halafu after this kind of diet and drinking unaanza kutafta coomer? Utaweza kweli? Why are you punishing your body?

5 Likes

hamjaambia uyu jamaa poa…esteem yake imeshuka to -50%

mbona unashika kijiko na fork nikama unaendesha wheelbarrow…
ama wewe mtu ya mjengo…

4 Likes

Huyu jamaa ata si peasant,we can only classify him as less privileged

3 Likes