Kushukuru mwili

Tusker si mbaya. Kuna kile kidiesel! Unashika kumi, unaanza kumetameta. Cheers @Elgin

Cheers bruh!! Pia mie nishakamata pili zangu kadhaa … saa ni kusugua kamtu tu halafu niingize mtaa
#fuckpoliticks

Naona pia lokeshen umeibadili. kelele ni Za ndege na wadudu, Hewa safi na maandhari Ya kipwani.
Hapo ndio tusker huonja tofauti. Tam Sana! Ongeza moja kwa bill yangu.

Fuck em kabisa, wakuu mnajua during the last polls nilihamisha all the valuables kwa hao plus my bike nikapeleka kwa our BOM chairman? Yaani maraga aliamua nirudie vivo hivo, nisawa tu! Bike this time round nawacha kwa @ introvert aweke pipes kama exhausts.

Peasantry is real. Yaani kushukuru mwili ni tathikaa na shipotoman

So you met @mayekeke? :smiley: