Kutaka bila kujipanga

Hekaya safi. You are patient man, and for that pewa Guinness mbili, hapo sawa. Mimi hii mambo ya kubeg mzigo kuangushiwa ndio imenishindaga lately. Is either unipee tumalizane ama Sabina joy pap. Noncence na kuunda stori haziko nakata nje. Ama namna gani washika dau:):D:D:D

Okay… Ati ruto alifanya nini wenye wameelewa

Hekaya iko fine haha

Huyo aliingia box kitambo buda, nunua juala mingi boss. i always keep like 3 packets ready, hakuna kitu mbaya kama dame akutokee akuache na nyege.

From that time,sikuwahi kosa till,when nliget kuoa!!!h,continuation inakam nikitumi chenye nilikuwa nimetumia jana

Chunga sana hawa madem hujileta, we unaona free lunch tu, siku mtakosana atakuwekea mchele afagie bedsitter nzima.

Imeweza brathe.

Hapo vipi? Hapo sawa.
ION vile wazee na cool kids wanasoma hii hekaya
https://www.youtube.com/watch?v=tkMNEkoen_o

Kusema tu ukweli hakuna kitu nimeelewa hapo. Mtu alete traslashen.

Hapo tunafana mimi story za kubembeleza mtu mzima ako na meno 32 siwesmek.

He hehehe isorait!

Your sheng is weak man. Come for lessons. This sounds like some hobo language

Am lost on the way, tumia English