kutoka majuu

Kuna swali imeulizwa hapa na hakuna jibu imepeanwa, legalities of owning one of these in Kenya ?

hata kama mimi ni peasant hiyo siwes nunua acha tungoje siku DJI mavic pro zitashuka bei

There is none!? Just dont go flying it in town or some stupid shiet like that

read somewhere on the KCAA approval in feb but it was for commercial purposes

That’s good I will import one , using one with a VR headset can be a really good experience

mi nataka kujua ka naweza weka ile battery ya innjoo yenye ikona 4000mAh kwa haka kakitu ndo kazubae longer in the air

Hizi vitu zinapatikana Kilimall for as low as 2k. Hiyo model ya @nyeendiani nimeona ni kama 5k hivi. Usijipe kazi mingi ya ku import

natafuta night vision… any leads?

1 Like

Ongea na KDF GMO @kiLo-

1 Like

http://www.nation.co.ke/news/Customs-officials-alarmed-by-rise-in-import-drones/1056-3855006-g5rh94/

[ATTACH=full]89073[/ATTACH]

2 Likes

Waah na mnasemanga mimi ndiye huenda malls sana. Niaje shemeji:-)

Kilimall ni website ( http://www.kilimall.co.ke )

Punguza ushamba

6 Likes

tihihihi

Hehehe ushamba out!

Aaaaaiiiiiii. wacha ikae. Heri you tape an infinix and record with

2 Likes

infinix iko na 1.5 kg. Haiwes bebwa

Drones should have a panic mode where they run for their dear lives “Read Battery Life” if someone tries to down them .

niliskia lazima uchukue license KCAA

Nimepata exactly the same model for 2,499/-

Nimepata exactly the same model for 2,499/-