Kuwachwa kwa mataa

Yeah, lakini hapo unaambia watu kila mtu ajilipie bill before vitu ziagizwe.

One time i landed in kakamega while doing some consultancy for some organization. Kazi ilikuwa kufunza some peasant business people. Sasa napata ninjas wameanda meza na zile flask kubwa za waluhya. Sijui mandazi, boiled maize, njugu karanga, mkate, ndizi. Wacha session iishe nugu ingine iniletee receipt ya 11k ati ndio bill ya chakula. Simply folded my laptop and picked up the projector na kutoka like a boss.

imagine how the conversation would go, you telling them hawakuwa na mpango and that you will only pay for two people, the rest wajipange, it opens up a negotiation table, run blood pressure up and spoil the whole mood

Mimi afadhali niwaambie wajue vile kuko. Hata wakikasirika ni sawa, si watoto wangu.:D:D:D:D:D

Binadam anapenda vya bure.

Man, that gal is fiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiine, damn! Pacemaker kaboom!

kwani mlikunywa chai flask ngapi na njugu gunia ngapi na mkate kiasi gani ndo akaconclude you guys ate thet amount? like seriously, 11k how is that possible?

Hehe. Its like asking a girl for a date. You made it clear its a date, but anaona alete rafiki yake. To make it worse,she tells her she can order anything

wueh! chai, viazi, mahindi na kdhalika for 11k? Hapo lazima walitaka wakugonge

Ilikuwa umeffi which nilionea 18

:D:D:D:D:D:D

Hio sio fiti bwana . Hehe kwa kazi yangu iko time we on the field ,sasa hii time juu boss yetu pia anapenda hizo allowance yeye hukua in tow. Thing is time ya lunj si hujifanya hoe hae yeye anabaki amelipa bill ,allowances zetu zinabaki intact…iko siku moja tumeenda lunj kama kawa tukakula vile tuna penda time bill inaandikwa akasema kila mtu kwa io meza aandikiwe yake. :D:D:D siku hizi tuko na adabu

mjamaa hiyo bill si kidogo, kwani kila mtu alikula mfupa perspective?

mimi huuliza mwenye anadai nipeleka lunch point blank kama atalipa and if so budget yake ya lunch ni ngapi. maneno ya kukula ovyo msee nilichorea

kwanini? leta hekaya!